Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 2 | MI S I NG I YA UONGOZ I WA K I KR I S TO : K I ONGOZ I WA K I KR I S TO KAMA MCHUNGA J I / 307

b. Pinga mafundisho ya uongo na uzushi kwa kuwalisha watakatifu Neno la Mungu, Mdo. 20:29-32.

c. Waandae watakatifu kwa ajili ya kazi ya huduma (kufundisha wachungaji walio na ujuzi wa kufanya wanafunzi wenye uwezo wa kufanya wengine kuwa wanafunzi, 2 Tim. 2:2).

4. Rahisisha mchakato wa kuwapata, kuwafunza, na kuwapeleka kazini wachungaji.

2 Tim. 3:16-17 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; 17 ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.

2

a. Injili ya Yesu Kristo

b. Ufalme wa Mungu

H U D U M A Y A K I K R I S T O

c. Ukiri wa Imani wa Nikea

d. Sakramenti

e. Mafundisho na mahubiri ya Neno la Mungu

5. Kwa ajili ya kulihudumia kundi la mjini linalotuzunguka, na tutazame upya namna bora na rahisi kabisa ya maandalizi iliyofanywa na Kanisa la kwanza chini ya wachungaji.

a. Ujasiri halisi kutoka kwa watumishi wenye kujali

b. Watetezi wa mapokeo ya kitume: Imani ya Nikea

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker