Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

306 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

4. Ardhi kavu, iliyokauka kwa ajili ya malisho : Ongezeko la nyenzo za kiroho na mafundisho katika maeneo ya mijini.

5. Ongezeko la watu wa mshahara : wengi wanaokula kundi badala ya kulilinda.

C. Tunawapataje na kuwaandaaje wachungaji imara kwa ajili ya makanisa ya mijini?

1. Waombee: Mungu aliahidi kwamba atatoa wachungaji kwa ajili yetu! rej. Efe. 4:11-12.

2. Tubadili njia zetu za kuwazalisha: njia zetu nyingi za kisasa za kuwafunza wachungaji hazitoshi.

2

a. Zinachukua muda mrefu sana.

H U D U M A Y A K I K R I S T O

b. Zinazingatia mifumo na miundo ya kitaaluma.

c. Ni za ghali sana.

d. Haziwaandai wachungaji wa mijini kuhudumia wanafunzi wa Kristo katika muktadha wa mijini.

e. Hazitoi mafunzo katika muktadha wa kanisa la mjini.

3. Kuzingatia upya vigezo vya kibiblia vya uongozi katika kanisa la mahali pamoja.

a. Litazameni kundi la Mungu, (tunatafuta watu ambao hawalali kamwe linapokuja suala la ustawi wa kundi). (1) Mdo. 20:28 (2) Ebr. 13:7

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker