Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 2 | MI S I NG I YA UONGOZ I WA K I KR I S TO : K I ONGOZ I WA K I KR I S TO KAMA MCHUNGA J I / 305
f. 2 The. 3:9
4. Mchungaji ni ujumbe , na vile vile ndiye atoaye ujumbe, Tit. 2:7.
5. Ujana wa mchungaji sio jambo muhimu kama kuwa kielelezo cha kimungu 1 Tim. 4:12.
II. KuwandaaWachungaji kwa ajili ya Makusanyiko ya Mjini: Masuala Muhimu
Mashemasi wanapaswa kukumbuka kwamba Bwana alichagua mitume – yaani, maaskofu na waangalizi. Kwa upande mwingine, mitume walichagua mashemasi kwa ajili yao wenyewe. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.366. Ibid . uk. 156.
A. Kuenea kwa mifumo ya usimamizi miongoni mwa wachungaji wa kiinjili.
2
1. Mchungaji wa kufanya kila kitu mwenyewe : mchungaji kama mbeba shughuli zote (Mkristo mwenye karama za hali ya juu).
H U D U M A Y A K I K R I S T O
2. Mchungaji msimamizi : mchungaji kama Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Kikristo.
3. Mchungaji anayejitenga : mchungaji ambaye huficha kazi mbalimbali anazofanya, na kwa sababu hiyo hujitenga na kundi.
B. Hitaji la wachungaji imara wa mijini
1. Mazingira hatarishi, yasiyo salama : msingi wa jukumu la uchungaji katika huduma ya kichungaji.
2. Wanyama wakali : wale wanaowawinda Wakristo wa mijini.
3. Ugonjwa wa kutangatanga : hali ya kondoo kuelekea kwenye mambo ya kupotosha na kuliacha kundi.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker