Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
304 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
C. Mchungaji ni kiongozi .
1. Yesu, kama Mchungaji Mkuu na Mwema, hutuongoza katika njia na malisho yenye kutufaa.
a. Zab. 23:1-2
b. Yn. 10:4
c. Yn. 10:16
d. Yn. 10:26-27
2
e. Yn. 10:3-5
H U D U M A Y A K I K R I S T O
2. Mchungaji mcha Mungu huliongoza kundi katika mapenzi ya Mungu kupitia Neno la Mungu: hatalipotosha kundi, Yer. 50:6.
3. Kadiri mchungaji mcha Mungu anavyomfuata Kristo kama mfuasi, anawapa changamoto washiriki wa kundi kufuata mwongozo wake.
a. 1 Kor. 11:1
b. 1 Kor. 4:16
c. 1 Kor. 10:33
d. Flp. 3:17
e. 1 The. 1:6
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker