Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 2 | MI S I NG I YA UONGOZ I WA K I KR I S TO : K I ONGOZ I WA K I KR I S TO KAMA MCHUNGA J I / 303

b. Dhabihu ya kichungaji ya Kristo kwa ajili yetu ndiyo kipimo ambacho kwacho tunapima aina nyingine zote za huduma kwa kundi, Ebr. 13:20.

4. Kama wasimamizi wa kundi, jukumu letu ni kuwa waangalifu na mahitaji yao na kuwalinda dhidi ya yale mambo ambayo yanaweza kuwadhuru au kuwaangamiza.

a. Yesu alionya kwamba mbwa-mwitu wangelijia kundi lake. (1) Mt. 7:15 (2) Mt. 10:16

b. Mbwa-mwitu wakali watatokea miongoni mwa kundi, Mdo. 20:28-31.

2

c. Uzushi wenye uharibifu utaongezeka bila shaka, 2 Pet. 2:1-3.

H U D U M A Y A K I K R I S T O

5. Asili ya usimamizi wetu kama wachungaji

a. Wa kiwango cha juu zaidi : Haupo tayari kupoteza mwana-kondoo hata mmoja, Lk. 15:4

b. Muhimu : hakuna kundi litakalookoka ikiwa mchungaji ataangamizwa au kuliacha kundi lake Mk. 14:27.

c. Wa kina : tunaweza kulazimika kutoa uhai wetu kwa ajili ya uhai na ustawi wa kundi letu Yn. 10:11.

d. Wenye wito na mzigo wa kukusanya: mchungaji hulinda na kusimamia kwa kuwaongoza kondoo katika njia ifaayo, mbali kabisa na mambo yale yanayoaweza kuwafanya wapotee au kuangamizwa, 1 Pet. 2:25.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker