Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

302 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

5. Mchungaji hulea kwa njia kadhaa.

a. Kwa kutoa kielelezo cha kimungu cha maana ya kuishi kama mfuasi wa Kristo. (1) Tit. 2:7

(2) 1 Tim. 4:12 (3) 2 The. 3:9

b. Kwa kufundisha mafundisho sahihi na kuhubiri Neno la Mungu. (1) 1 The. 5:12-13

(2) 1 Tim. 4:6 (3) 1 Tim. 5:17 (4) Mdo. 20:32

2

H U D U M A Y A K I K R I S T O

c. Kwa kutoa huduma ya upole, ya upendo, katika safari kwa kadiri Mungu anavyoliongoza kundi, Yn. 21:16.

B. Mchungaji ni mlinzi na msimamizi .

1. Mtu wa mshahara hukimbia itokeapo dalili ya hatari ya mnyama mkali anayekaribia kwenye kundi, Yn. 10:12-13.

2. Kuachwa kwa kundi hakika kutasababisha baadhi ya wana-kondoo kuliwa, wengine kutawanyika Yn. 10:12.

3. Mchungaji ni msimamizi, ambaye ni kama Yesu Masihi alivyowasimamia na kuwalinda kondoo wake kwa kutufia msalabani.

a. Kristo hajawahi kutuacha, bali alitoa uhai wake kwa ajili ya kondoo Yn. 10:11.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker