Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 1 | TAFAKAR I FUP I YA K I THEOLOJ I A / 39
Ikiwa una nia ya kufuatilia baadhi ya mawazo ya somo hili, Tafakari Fupi ya Kitheolojia , unaweza kuangalia vitabu hivi: Davis, Don L. A Compelling Testimony: Maintaining a Disciplined Walk, Christlike Character, and Godly Relationships as God’s Servant , Foundations Course, Wichita: TUMI, 2006, 2012. Davis, Don L. Sacred Roots: A Primer on Retrieving the Great Tradition , 2nd Ed., Wichita: TUMI, 2010, 2017. Chukua muda kutafakari jinsi Roho Mtakatifu anavyounganisha maarifa ya somo hili la Tafakari Fupi ya Kitheolojia na maisha na huduma yako. Je, unawezaje kufikiria, au kutenda kwa namna tofauti katika hali halisi kulingana na somo hili? Je, somo hili linakufanya ufikirie upya mawazo au matendo yako ya awali? Omba kwamba Bwana wetu akuonyeshe maeneo ya maisha yako mwenyewe ambapo somo hili linaweza kutumika.
Nyezo na bibliografia
Kuhusianisha somo na huduma
1
Mwombe Roho Mtakatifu auangazie moyo wako kuhusiana na Tafakari Fupi ya Kitheolojia . Jitoe upya kwa utumishi wa Bwana wetu kama mtenda kazi wa kiukombozi dhidi ya umaskini. Mwombe kwamba akupe ufahamu na ujasiri wa kutumia yale unayojifunza.
Ushauri na Maombi
K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I
KAZI
Kariri Luka 4:18-19 kwa kutumia Biblia ya kawaida (SUV).
Kukariri Maandiko
Ili kujiandaa na somo lijalo, tafadhali soma maeneo yafuatayo: • Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini
Kazi za Usomaji
– “Kazi Hatarishi ya Kupambana na Umaskini” (uk. 23-30) • Kanisa Lisilo la Kawaida: Mabadiliko ya Jamii kwa Manufaa ya Wote – Sura ya 2: Yesu Angefanya Nini? Umaskini ni Hali, Sio Utambulisho – Sura ya 7: Mitaa Inavyoharibiwa: Kuelewa Nguvu za Uharibifu Zitendazo Kazi
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker