Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 1 | MI S I NG I YA UTUME WA K I KR I S TO : MAONO NA MS I NG I WA K I B I B L I A / 403
KWA UTAFITI ZAIDI
Tafadhali tazama nyenzo zifuatazo katika kitabu cha Theolojia katika Picha: Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI : • Mitazamo Mitano ya Uhusiano kati ya Kristo na Utamaduni , ukurasa wa 294 • Yesu na Maskini , ukurasa wa 538 • Vipau mbele Mbadala wa Maono Yenye Msingi katika Kristo , ukurasa wa 521
• Hadithi: Kiini cha Ufunuo , ukurasa wa 46 • Theolojia ya Christus Victor , ukurasa wa 406
1
U T U M E K A T I K A M I J I
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker