Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 3 | MKAZO KUHUSU UZAZ I : UKUA J I WA KAN I SA / 431

d. Kuwekeza katika mahusiano

2. Tafuta nia ya Roho juu ya wakati na njia bora ya kukabidhi mambo ya kanisa kwa viongozi wake wapya.

3. Lipe changamoto kusanyiko tangu mwanzo kabisa kwamba uzazi ndio lengo la kazi ya ufalme mahali hapo na sio kuwepo au kuishi tu.

4. Sherehekea ukuaji wa kanisa na haki yake ya kuanguka kifudifudi kwa ajili ya Mungu!

C. Mpito

1. Maandiko muhimu

a. Tit. 1:4-5

3

b. Mdo. 14:21-23

U T U M E K A T I K A M I J I

2. Kanuni ya msingi: kasimisha mamlaka, uongozi, na maongozi kwa viongozi na kusanyiko la kanisa ili waweze kuendelea kuzaliana, na kushirikiana na makusanyiko mengine yenye nia moja kwa lengo la kukuza ushirika na kuendelea kupeana changamoto.

3. Kasimishia madaraka kwa viongozi wazawa ili wajiongoze, wajitegemee na wajizalishe (teua wazee na wachungaji).

4. Kamilisha maamuzi kuhusu mambo ya kidhehebu au mashirikiano mengine.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker