Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

432 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

5. Agiza kanisa.

6. Kuza ushirika na World Impact na makanisa mengine ya mijini kwa ajili ya ushirika, usaidizi na huduma ya umisheni.

IV. Mzunguko wa Paulo: Kielelezo cha Hesselgrave cha Kupanda Makanisa katika Tamaduni Mchanganyiko Vielelezo vya Paulo kutoka katika Matendo ya Mitume: Mzunguko wa Pauline (Istilahi na hatua za “Mzunguko wa Paulo” zimechukuliwa kutoka David J. Hesselgrave, Planting Churches Cross-Culturally . Toleo la 2. [Grand Rapids: Baker Book House, 2000]).

A. Umuhimu wa kitabu cha Matendo katika umisheni wa tamaduni mbalimbali

1. Mitume walikuwa wamishenari wa kwanza katika tamaduni mchanganyiko za mijini .

3

U T U M E K A T I K A M I J I

2. Makanisa yaliyopandwa katika miji ya Asia ndogo yalikuwa makanisa yenye tamaduni mbalimbali za mijini.

3. Nyaraka kutoka kwa Mitume zilikuwa nyenzo za kwanza za ufuatiliaji wa waamini mijini.

B. Hatua za upandaji kanisa katika tamaduni mchanganyiko (zingatia: tazama jinsi kanuni zetu tatu za “Uinjilisti, Kufuasa, na Kuwezesha” zinavyolingana na hatua za Hesselgrave)

1. Kutuma Wamishenari: Mdo. 13:1-4; 15:39-40; Gal. 1:15-16

2. Kufikia Hadhira Lengwa: Mdo. 13:14-16; 14:1; 16:13-15; 17:16-19

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker