Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 3 | MKAZO KUHUSU UZAZ I : UKUA J I WA KAN I SA / 433

3. Kutangaza Injili: Mdo. 13:17-41; 16:31; Rum. 10:9-14; 2 Tim. 2:8

4. Wasikilizaji Wanaongoka: Mdo. 13:48; 16:14-15; 20:21; 26:20; 1 The. 1:9-10

5. Kusanyiko la Waamini: Mdo. 13:43; 19:9; Rum. 16:4-5; 1 Kor. 14:26

6. Kuthibitisha Imani: Mdo. 14:21-22; 15:41; Rum 16:17; Kol. 1:28; 2 The. 2:15; 1 Tim. 1:3

7. Kuweka Wakfu Viongozi: Mdo. 14:23; 2 Tim. 2:2; Tito 1:5

8. Kuwatia Moyo Waamini: Mdo. 14:23; 16:40; 21:32 (2 Tim. 4:9 na Tito 3:12)

3

9. Kuendeleza Mahusiano: Mdo. 15:36; 18:23; 1 Kor. 16:5; Efe. 6:21-22; Kol. 4:7-8

U T U M E K A T I K A M I J I

10. Kutoa Mrejesho kwa Makanisa Yaliyowatuma: Mdo. 14:26-27; 15:1-4.

C. Kanuni Kumi za upandaji makanisa katika tamaduni mchanganyiko mijini.

1. Yesu ni Bwana . (Mt. 9:37-38). Shughuli zote za upandaji kanisa hufanywa kwa ufanisi na kuzaa matunda chini ya ulinzi na nguvu za Bwana Yesu, ambaye mwenyewe ndiye Bwana wa mavuno.

2. Kuinjilisha, Kufuasa, na Kuwawezesha wasiofikiwa ili kufikia wengine (1 The. 1:6-8). Lengo letu katika kuwafikia wengine kwa ajili ya Kristo si tu kwa ajili ya uongofu thabiti bali pia kwa ajili ya maongezeko yenye

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker