Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
434 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
nguvu; wale wanaofikiwa lazima wafunzwe kuwafikia wengine pia.
3. Jumuisha : yeyote anayetaka anaweza kuja (Rum. 10:12). Hakuna mbinu inayopaswa kumkataza mtu au kikundi chochote kuingia katika Ufalme kwa njia ya Yesu Kristo kwa imani.
4. Usiegemee upande wowote wa kitamaduni : njoo kama ulivyo (Kol. 3:11). Injili haimtaki yeyote anayeiendea kubadili utamaduni wake kama sharti la kuja kwa Yesu; anaweza kuja jinsi alivyo.
5. Epuka mtazamo wa kujenga ngome (Mdo 1:8). Kusudi la umisheni si kujenga ngome isiyoweza kuangushwa katikati ya jumuiya ambayo haijaokolewa, bali ni kujenga
kituo Ufalme chenye nguvu ambacho kinaanzisha ushuhuda wa Yesu ndani na kwenye mipaka ya ulimwengu wao.
3
6. Endelea kuinjilisha ili kuepuka kudumaa (Rum. 1:16-17). Endelea kutazama maeneo mapya ukiwa na maono ya Agizo Kuu akilini; kujenga mazingira ya ushuhuda wa kina kwa ajili ya Kristo.
U T U M E K A T I K A M I J I
7. Vuka vizuizi vya ukabila, matabaka, jinsia na lugha (1 Kor. 9:19-22). Tumia uhuru wako katika Kristo kutafuta njia mpya na za kuaminika za kuwasilisha ujumbe wa Ufalme kwa wale walio mbali zaidi na wigo wa kitamaduni wa kanisa la kienyeji. 8. Heshimu utawala wa utamaduni pokezi (Mdo. 15:23-29). Ruhusu Roho Mtakatifu ayageuze maono na maadili ya Ufalme wa Mungu kuwa katika maneno, lugha, desturi, mitindo na uzoefu wa wale ambao wamemkubali Yesu kama Bwana wao.
9. Epuka utegemezi (Efe. 4:11-16). Usiwe mkarimu kupita kiasi ukalea udhaifu wala kuwa mgumu kupita kiasi kwa kusanyiko linalokua; usidharau nguvu ya Roho
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker