Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 3 | MKAZO KUHUSU UZAZ I : UKUA J I WA KAN I SA / 443
eneo na nafasi ulipo sasa. Kuwa tayari kwa safari mpya na mustakabali mpya, unapojisalimisha kwa uongozi wa Roho Mtakatifu juu ya masuala haya.
KAZI
Waefeso 6:10-13
Kukariri Maandiko
Ili kujiandaa kwa ajili ya darasa, tafadhali tembelea www.tumi.org/ books ili kujua kazi ya kusoma ya juma lijalo, au muulize Mshauri wako
Kazi ya Usomaji
Kama kawaida unapaswa kuja na Fomu ya Ripoti ya Usomaji yenye muhtasari wako wa maeneo ya usomaji ya wiki. Pia, ni muhimu uwe umechagua maandiko kwa ajili ya Kazi ya Ufafanuzi wa Maandiko (eksejesia), na ukabidhi mapendekezo yako kuhusiana na Kazi ya Huduma.
Kazi Zingine Ukurasa wa 189 10
3
Somo letu la mwisho Kutenda Haki na Kupenda Rehema : Haki na Ishuke – Maono na Theolojia ya Ufalme , limejikita zaidi katika suala la imago Dei (yaani, sura ya Mungu) katika Maandiko. Tutauona upekee wa mwanadamu, na kuangazia umuhimu wa upekee huo katika kuwatazama watu binafsi, familia, watu na mataifa yote kama wenye thamani na wasio na mbadala. Katika ulimwengu uliojaa jeuri, ukatili, na ukosefu wa haki, tunahitaji sana wawakilishi wa Ufalme ambao wanaweza kudhihirisha haki na rehema za Bwana wetu Yesu Kristo. Ni Kanisa pekee ndilo linaloweza kuifunua haki, umoja, na neema ya Ufalme wa Mungu katikati ya ulimwengu ulioharibiwa na uovu, kisasi, na mifarakano. Ni katika Kristo pekee ndipo tunapoweza kupata amani ambayo ni ya kweli na ya kudumu. Hadi hapo Bwana wetu atakaporudi, wito wetu ni kuonyesha haki yake duniani. Mungu akubariki sana katika kila jambo unapohuisha kumbukumbu ya wito wetu wa kudhihirisha haki na kupenda rehema, katika Kanisa na ulimwenguni, kwa utukufu wa Mungu.
Kuelekea Somo Linalofuata
U T U M E K A T I K A M I J I
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker