Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 4 | KUT ENDA HAK I NA KUPENDA REHEMA : HAK I NA I SHUKE / 445
Kutenda Haki na Kupenda Rehema Haki na Ishuke – Maono na Theolojia ya Ufalme
S OMO L A 4
Ukurasa wa 191 1
Karibu katika Jina lenye nguvu la Yesu Kristo! Baada ya kusoma kwako, kujifunza, majadiliano, na matumizi ya maudhui ya somo hili, utakuwa na uwezo wa: • Kueleza kwa uangalifu na kwa usahihi sura ya Mungu na msingi wake katika mafundisho ya Biblia. • Kuonyesha namna ambazo Maandiko yanaonyesha kwamba wanadamu ni wa pekee na wenye thamani kwa sababu ya zawadi ya pekee ya Mungu ya uumbaji, akiwaumba wanadamu kwa sura na mfano wake mwenyewe. • Kuorodhesha sababu za kwa nini tunapaswa kuwaona watu binafsi, familia, makabila na mataifa yote kuwa wenye thamani na wasio na mbadala. • Kueleza matokeo ya kitheolojia ya fundisho kuhusu imago Dei , hasa namna hii ya hali ya juu ya kumtazama mwanadamu inavyohalalisha juhudi zetu bora na za kujitolea zaidi katika kuhifadhi na kutunza maisha ya binadamu, popote yalipo na popote tunapowakuta watu katika dhiki. Je, Mimi ni Mlinzi wa Ndugu Yangu? Mwa. 4:1-16 – Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana. 2 Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima ardhi. 3 Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa Bwana. 4 Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. Bwana akamtakabali Habili na sadaka yake; 5 bali Kaini hakumtakabali, wala sadaka yake. Kaini akaghadhibika sana, uso wake ukakunjamana. 6 Bwana akamwambia Kaini, Kwa nini una ghadhabu? Na kwa nini uso wako umekunjamana? 7 Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde. 8 Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]Ikawa walipokuwapo uwandani,Kaini akamwinukia Habili nduguye,akamwua. 9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi
Malengo ya Somo Ukurasa wa 193 2
4
U T U M E K A T I K A M I J I
Ibada Ukurasa wa 194 3
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker