Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 2 | KAZ I HATAR I SH I YA KUPAMBANA NA UMASK I N I / 45
II. Ubaba: Suala la Matumizi ya Nguvu na Mamlaka
Ukurasa wa 32 4
A. Ufafanuzi kutoka katika kamusi kamusi ya Oxford Languages : “sera au desturi ya watu walio katika vyeo vya mamlaka ya kuwekea mipaka uhuru na wajibu wa wale walio chini yao kwa maslahi yanayodhaniwa kuwa bora ya hao walio chini yao.”
B. Je, sisi ni “viongozi washauri” au “wenye hekima jukwaani”?
C. Mungu amewapa maskini vipaji ili kuongoza maisha yao wenyewe. “Unaweza kufanya hivyo. Tunaweza kukusaidia.”
D. Mfano: watu ambao wana usalama wa kifedha wako katika nafasi nzuri ya kuwashauri wale ambao hawana usalama wa kifedha.
2
1. Hii inamweka mfanyakazi wa kupambana na umaskini katika hali ya kushawishika kutumia nguvu inayokuja na rasilimali zake kuwadhibiti na kuwatawala wale anaojaribu kuwasaidia.
K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I
2. Mambo kama vile rangi, jinsia, na ukosefu wa haki wa kihistoria, mienendo hii ya nguvu husababisha zaidi nia njema kubadilika kuwa aina ya ukandamizaji.
III. Uchovu, Msongo na Ubeuzi: Kuteseka Kutokana na Uchovu na Kukatishwa Tamaa
Ukurasa wa 33 5
A. “Kurudi nyuma” mara nyingi ni matokeo ya kuchoshwa katika kutenda mema.
1. Kufanya kazi za kupambana na umaskini hakuna mwisho, na bado tatizo la umaskini linaendelea.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker