Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
472 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
lake. Ikiwa haujui nini cha kufanya baada ya hapa, tunapendekeza uangalie kozi yetu ya MTH (tazama ukurasa wa 489). Mpango wa Tathmini ya Huduma (MTH) ni chombo bora cha kukusaidia wewe na viongozi wako kutambua unavyoweza kutumika vyema katika mwili wa Kristo. The Urban Ministry Institute pia inatoa orodha kamili ya kozi na nyenzo ili kukuandaa zaidi kwa ajili ya huduma. Ikiwa una nia ya kujua zaidi tembelea www.tumientree.com . Tafadhali tazama nyenzo zifuatazo katika kitabu cha Theolojia katika Picha: Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI : • Uhuru wa Kweli katika Yesu Kristo , ukurasa wa 457 • Utamaduni, Sio Rangi: Mwingiliano wa Matabaka, Utamaduni na Rangi , ukurasa wa 503 • Kuwawezesha Watu kwa ajili ya Uhuru, Ustawi, na Haki , ukurasa wa 170 • Mitazamo Mitano ya Uhusiano kati ya Kristo na Utamaduni , ukurasa wa 294 • Theolojia ya Kanisa katika Mtazamo wa Ufalme , ukurasa wa 426
KWA UTAFITI ZAIDI
4
U T U M E K A T I K A M I J I
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker