Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 3 | KAZ I YA K I UKOMBOZ I DH I D I YA UMASK I N I / 59

Mwambie Roho Mtakatifu auangazie moyo wako kuhusu Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini . Jitoe upya kwa utumishi kwa Bwana wetu kama mfanyakazi wa kiukombozi dhidi ya umaskini. Mwombe akupe ufahamu na ujasiri wa kutumia yale unayojifunza.

Ushauri na Maombi

KAZI

Kariri Matendo 2:42 kwa kutumia Biblia ya kawaida.

Kukariri Maandiko

Ili kujiandaa kwa ajili ya somo linalofuata, tafadhali soma yafuatayo: • Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini – “Mienendo ya Maisha na Kazi ya Kupambana na Umaskini” (uk. 37-50) • Kanisa Lisilo la Kawaida: Mabadiliko ya Jamii kwa Manufaa ya Wote – Sura ya 1: Utetezi Pekee Hautoshai – Sura ya 5: Ushirika wa Kanisa wenye Afya: Tabia Saba kuelekea Ukomavu wa Kiroho – Sura ya 9: Kufuata Ndoto Zisizo za Kawaida: Mifano ya Imani, Matumaini, na Upendo kwa Vitendo

Kazi ya Usomaji

3

K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I

Jiandae kwa Jaribio . Utaulizwa maswali kuhusu maudhui ya somo hili baada ya Mkutano wa Ana kwa ana. Hakikisha kwamba unatumia muda kupitia maudhui uliyojifunza na madokezo yako, hasa ukikazia fikira mawazo makuu ya somo.

Kazi Zingine

Somo la nne, Mienendo ya Maisha na Kazi ya Kupambana na Umaskini , linaweka wazi hali ya kiroho ya Mapokeo Makuu ya Kanisa. World Impact inakualika kutendea kazi maarifa haya katika maisha yako kama njia ya kukabiliana na kazi hatarishi ya kupambana na umaskini, na kuyafanya kuwa kichocheo cha kukua katika imani yako.

Kuelekea Somo Linalofuata

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker