Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
72 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
na somo hili? Je, somo hili linakufanya ufikirie upya mawazo au matendo yako ya awali? Omba kwamba Bwana wetu akuonyeshe mifano au mazingira halisi ya maisha yako mwenyewe ambapo somo hili linaweza kutumika.
Mwombe Roho Mtakatifu auangazie moyo wako kuhusu Mienendo ya Maisha na Kazi ya Kupambana na Umaskini . Jitoe upya kwa utumishi kwa Bwana wetu kama mfanyakazi wa kiukombozi dhidi ya umaskini. Mwombe akupe ufahamu na ujasiri wa kutumia yale unayojifunza.
Ushauri na Maombi
KAZI
Hakuna Maandiko ya kukariri katika somo hili.
Kukariri Maandiko
Hakuna kazi ya usomaji katika somo hili.
Kazi ya Usomaji
Jiandae kwa ajili ya Mtihani wa Mwisho . Mtiani wa mwisho utajumuisha maswali yaliyochukuliwa kutoka katika maswali majaribio matatu ya kwanza, na maswali mapya kutokana na maudhui ya somo hili. Pia, wakati wa mtiani unapaswa kujiandaa kutamka au kuandika aya zilizokaririwa katika kipindi chote cha kujifunza kozi hii. Hakikisha kwamba unatumia muda kupitia maudhui uliyojifunza na madokezo yako, hasa ukikazia fikira mawazo makuu ya somo. Hongera kwa kukamilisha Sehemu ya I ya mtaala wa Cornerstone: Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini . Masomo haya yanatoa muktadha wa Mtaala uliosalia wa Capstone. Kujihusisha kwetu katika mada za Masomo ya Biblia , Theolojia na Maadili , Huduma ya Kikristo , na Utume katika Miji kuna lengo lao la kuandaa watenda kazi wa ukombozi ambao watamtukuza Mungu kwa kumtumikia Kristo na Kanisa lake. Somo lako linalofuata litakuwa mwanzo wa Sehemu ya II ya mtaala huu wa Cornerstone: Biblia na Theolojia . Fungu la kwanza, Masomo ya Biblia , litakupa zana za kukuwezesha kulihudumia Neno la Mungu kwa usahihi na kwa ufanisi. Kulingana na ushuhuda wa wazi wa Maandiko yenyewe, Mungu huwaandaa wawakilishi wake kupitia Neno la Mungu lililovuviwa na Roho Mtakatifu, yaani Maandiko. Kila mtu ambaye Mungu anamwita
Kazi Zingine Ukurasa wa 51 14
4
K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I
Hitimisho
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker