Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I / 1 1 1

Bila shaka, kila kitu kinategemea kiasi cha muda ulio nao katika kipindi chako, na jinsi ulivyoupanga. Bado, maombi ni sehemu yenye nguvu na yenye uwezo wa kukutana na mafundisho yoyote ya kiroho, na kama unaweza, yanapaswa kuwa na nafasi yake kila wakati, hata ikiwa ni maombi mafupi ya yale ambayo Mungu ametufundisha, na azimio la kuishi kulingana na matokeo yake kama Roho Mtakatifu anavyotufundisha.

1

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online