Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I / 1 1 9

Usiache kusisitiza mambo haya kwa wanafunzi wako kwani, katika masomo yoyote, mwisho wa kozi unashughuli nyingi, huku mambo mengi yakitarajiwa na wanafunzi huhisi shinikizo la kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ili kuendana na tarehe za kukamilisha mambo yote. Njia yoyote ambayo unaweza kutumia kuwakumbusha juu ya hitaji la kujipanga mapema itakuwa ya manufaa kwao, kwamba watalitambua hilo mara moja au la. Kwa sababu hii, tunashauri kwamba ufikirie kukata maksi kadhaa kwenye kazi zitakazokusanywa kwa kuchelewa. Ingawa kiwango cha maksi za kukatwa kinaweza kuwa cha kawaida, utekelezaji wako wa kanuni ulizojiwekea utawasaidia kujifunza kuwa makini, wenye ufanisi na kujali muda wakati wanapoendelea na masomo yao.

2

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online