Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I / 1 3 5

kiakili kwa wanafunzi wako kujifunza, kwa hivyo hakikisha kwamba unawatia moyo katika mchakato huu. Na kwa wale wanafunzi ambao wanaweza kuliona hili kuwa gumu, wahakikishie kuhusu dhamira ya zoezi hili, na uwasisitizie kwamba uelewa wao wa maelezo hayo ndio muhimu zaidi, si ujuzi wao wa kuandika. Ni kweli, tunataka kuboresha ujuzi wao, lakini si katika namna inayo dhoofisha lengo la kuwatia moyo na kuwajenga. Hata hivyo, hatutaki wafanye chini ya kiwango cha ubora wanachotakiwa kufanya. Jitahidi kutafuta mbinu zenye uwiano mzuri kati ya kuwapa changamoto ya kufanya kwa ubora na kuhakikisha hawavunjiki moyo.

4

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online