Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi
1 4 8 / M T A A L A WA C O R N E R S T O N E M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I
Kristo vimewekwa mbele yetu ili kuwa mfano wa vitu ambavyo hutumiwa mara kwa mara, yaani mkate na divai. Pili, ikiwa tungemla Bwana wetu kiuhalisia, sakramenti hii ingedhihakiwa na wasioamini. Tatu, ili kwamba, wakati tunachukua mwili na damu ya Bwana bila kuonekana, ukweli huu uweze kuchangia kwa hadhi ya Imani.
~ Thomas Aquinas. Summa Theologiae (1265).
1
Kilicho cha kweli kuhusu Kristo pia ni cha kweli kuhusu sakramenti. Ili uungu ukae katika mwili wa mwanadamu, si lazima asili ya mwanadamu kubadilishwa na uungu uliomo chini ya chembe za asili ya mwanadamu. Asili zote mbili zipo kwa ukamilifu na ni kweli kusema: ‘Mwanadamu huyu ni Mungu; Mungu huyu ni mwanadamu....’ Vivyo hivyo si lazima katika sakramenti kwamba mkate na divai vibadilishwe na Kristo awekwe ndani ya chembe za vifaa hivyo ili mwili halisi na damu halisi viwepo. Lakini vyote viwili hubaki pale kwa wakati mmoja, na ni sahihi inavyosemwa kwamba, ‘Mkate huu ni mwili wangu; divai hii ni damu yangu,’ na kinyume chake. “Kuhusu hili tunachukua msimamo wetu, na pia tunaamini na kufundisha kwamba katika Meza ya Bwana tunakula na kuchukua mwili wa Kristo kiuhalisia na kimwili.” Ingawa [Luther] alitambua fumbo hilo, alikuwa na hakika ya ukweli wa kuwapo kwa Kristo katika mwili halisi kama vile alivyosema alipoanzisha Chakula cha Bwana, “Huu ni mwili wangu.” Luther aliamini kwamba ikiwa Maandiko hayawezi kuchukuliwa kihalisi hapa, hayawezi kuaminiwa popote pale, na tuko njiani kuelekea “kumkana kwa hakika Kristo, Mungu, na kila kitu” (Works, XXXVII, 29, 53). ~ Martin Luther. The Babylonian Captivity of the Church (1520).
18 Ukurasa wa 283 Muhtasari wa Kipengele cha IV-E-2
H U D U M A Y A K I K R I S T O
~ M. E. Osterhaven. Quoting Luther in “Lord’s Supper, Views of.” Evangelical Dictionary of Theology. Grand Rapids: Baker, 1984. uk. 655.
Katika maswali haya, utaona lengo ni kuzifahamu kwa umahiri taarifa na kweli zinazohusishwa na madai yaliyotolewa katika video. Zingatia kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaelewa majibu kulingana na malengo ya somo. Hakikisha kuwa unazingatia muda hapa, ukishughulikia maswali yaliyo hapa chini na yale yaliyoulizwa
19 Ukurasa wa 287 Maswali kwa Mwanafunzi na Majibu
Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online