Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

1 6 8 / M T A A L A WA C O R N E R S T O N E M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I

Mara zote wasisitize wanafunzi hitaji lao si tu la kusoma kweli za Mungu bali kuzitendea kazi katika kila eneo la maisha yao. Hakika, maombi ni msingi wa matumizi ya kweli za Neno katika maisha ya mfuasi, na hasa katika maisha ya kiongozi anayeibukia wa Bwana na Kanisa lake. Bila shaka, kila kitu kinategemea kiasi cha muda ulio nao katika kipindi chako, na jinsi ulivyoupangilia. Bado, maombi ni sehemu yenye nguvu na yenye uwezo wa kukutana na mafundisho yoyote ya kiroho, na kama unaweza, yanapaswa kuwa na nafasi yake kila wakati, hata ikiwa ni maombi mafupi ya muhtasari kwa ajili ya yale ambayo Mungu ametufundisha, na azimio la kuishi matokeo yake kama Roho Mtakatifu anavyotufundisha.

4

H U D U M A Y A K I K R I S T O

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online