Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi
M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I / 5 1
anachosema. Anahisia za kibeuzi sana kwa habari ya watu wa mitaa hiyo na mashirika yaliyoanzishwa ili kuwasaidia, ikiwa ni pamoja na kanisa lake la mahali ambalo ameacha kuhudhuria. Malalamiko yake yanahusu kutothaminiwa kwa namna alivyojitoa na jinsi alivyochoka kimwili. Ungemwambia nini? Waache wanafunzi wajibu hili, lakini hapa kuna mapendekezo ya baadhi ya vipengele vya kuanza navyo: • Mruhusu aeleze kila kitu anachohitaji kueleza, kisha mshauri aweze kupata muda wa kupumzika ili kuwa na muda pamoja na Bwana. Anaonekana amejitenga mbali na Mungu. • Mhimize arudi kwenye ushirika kanisani. • Moja ya mambo rahisi kufanya katika huduma, hasa ikiwa uko katika jukumu la uchungaji au usimamizi, ni kufikiri kwamba huhitaji mchungaji. Maswali na maelekezo ya majibu kwa ajili ya kila somo yanaweza kupatikana mtandaoni katika World Impact U kwenye Dashibodi ya Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini. (Hizi zinapatikana kwa Mshirika na Mshauri). • Jaribio la 1: Somo la 1: Tafakari Fupi ya Kitheolojia • Jaribio la 2: Somo la 2: Kazi Hatarishi ya Kupambana na Umaskini • Jaribio la 3: Somo la 3: Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini • Mtihani wa Mwisho (unajumuisha maswali kutoka Somo la 4: Mienendo ya Maisha na Kazi ya Kupambana na Umaskini) • Majibu Baada ya wanafunzi wako kukamilisha Mtihani wa Mwisho, tafadhali waelekeze kwenye Muhtasari wa Kozi ya Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini . Ingawa tunapendelea fomu hii ijazwe mtandaoni, mazingira yanaweza kuzuia hili kuwezekana. Fomu imejumuishwa
4
14 Ukurasa wa 72 Kazi Nyingine
K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I
Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online