Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi
6 2 / M T A A L A WA C O R N E R S T O N E M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I
walichojifunza. Maswali kuhusiana na namna ya kutendea kazi yatakuwa ndio shabaha kubwa katika sehemu ya uhusianishaji inayofuata.
Fundisha Kipengele cha Uhusianishaji • Muhtasari wa Dhana Kuu • Kutendea kazi somo na Matokeo yake kwa Mwanafunzi • Mifano Halisi • Marejeo ya Tasnifu ya Somo • Nyenzo na Bibliografia • Kuhusianisha somo na huduma • Ushauri na Maombi
WakumbusheWanafunzi Kuhusu Kazi Zijazo • Kukariri Maandiko
• Kazi za Usomaji • Kazi Nyinginezo
Funga Kipindi
• Funga kwa sala • Patikana kwa ajili ya maswali na mahitaji binafsi ya mwanafunzi yeyote baada ya darasa.
Tafadhali tazama “Muhtasari wa Somo” ufuatao.
Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online