Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
/ 1 1 9
M U N G U B A B A
d. 1 Pet. 1:17
2. Utawala, hukumu, na matamko yake ni ya haki.
a. Mwa. 18:25
b. Zab. 9:4
c. Ufu. 19:2
3. Mungu huionyesha haki yake katika matendo na shughuli zake zote, yaani kwa namna zake zote.
a. Kum. 32:4
4
b. Isa. 45:21
4. Madokezo kuhusu haki ya Mungu katika hukumu zake
a. Kama watoto wa Mungu, hatupaswi kuonyesha upendeleo katika kushughulika kwetu na wengine.
(1) Amo. 5:15 (2) Amo. 5:24 (3) Yak. 2:9
Made with FlippingBook - Share PDF online