Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
1 2 0 /
M U N G U B A B A
b. Haki ya Mungu inapaswa kuzalisha ibada na sifa zetu, Zab. 99:3-4.
c. Usifanye mchezo na Bwana, Yer. 50:7.
II. Mungu Baba Mwenyezi Ana Uadilifu Mkamilifu
Mungu ni Mungu wa ukweli: ni halisi, wa kweli, na mwaminifu.
A. Mungu ni halisi (Mungu ni wa kweli katika vyote alivyo, yote asemayo,na atendayo)
1. Mungu ndiye pekee wa kweli.
a. 1 Thes. 1:9
b. 1 Tim. 1:17
4
c. 1 Yoh. 5:20
d. Ufu. 6:10
2. Mungu ni halisi na anakaa katika ulimwengu ambao ni “halisi kabisa,” Zab. 100:3.
3. Mungu hupendezwa na kweli kwa kuwa hiyo ndiyo asili yake.
a. Zab. 31:5
Made with FlippingBook - Share PDF online