Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

/ 1 2 1

M U N G U B A B A

b. Zab. 51:6

c. Yer. 10:17

d. Yoh. 17:3

4. Madokezo kuhusu uhalisi wa Mungu

a. Miungu mingine yote si ya kweli: Yehova ndiye Mungu pekee wa kweli.

b. Namna Mungu alivyo, ndio msingi hasa wa kila ambacho Mungu anasema na kutenda.

c. Kumtilia shaka Mungu hakuruhusiwi na wala si jambo la busara; yeye ni mkweli tu katika uhalisia wa alivyo.

4

B. Mungu ni mkweli (Mungu huwasilisha mambo kama yalivyo).

1. Mungu hawezi kusema uongo

a. Hes. 23:19

b. 1 Sam. 15:29

c. Tito 1:2

Made with FlippingBook - Share PDF online