Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
1 2 2 /
M U N G U B A B A
2. Hutimiza hadi nukta ya mwisho ya ahadi za maagano yake.
a. Mik. 7:20
b. 2 Kor. 1:20
3. Neno la Mungu ni la kuaminiwa kabisa; haliwezi kutanguliwa au kubadilishwa.
a. Zab. 119:160
b. Isa. 55:8-11
c. Yoh. 17:17
4
4. Madokezo kuhusu ukweli wa Mungu
a. Ukweli wa Mungu hutualika katika kujua, kuamini, na kuzitendea kazi ahadi za Mungu zilizo hakika.
b. Kama watoto wa Mungu ni lazima, kama yeye, tuwe wakweli katika njia zetu zote.
c. Ukweli wa Mungu hututaka kusubiria kutimilizwa kwa ahadi za Mungu katika wakati na namna yake mwenyewe, Isa. 40:28-31.
C. Mungu ni mwaminifu (Mungu anajithibitisha kuwa mwaminifu katika mambo yote anayoyafanya).
Made with FlippingBook - Share PDF online