Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
1 2 4 /
M U N G U B A B A
4. Madokezo ya uaminifu wa Mungu
a. Ili tuombe maombi yenye ushindi tunapaswa kuusihi uaminifu wa Mungu, Zab. 143:1
b. Tunapaswa kutangaza uaminifu wa Mungu kwa mataifa. (1) Zab. 40:10 (2) Zab. 89:1
c. Uaminifu wa Mungu unapaswa kuibua aina mpya za sifa na ibada kutoka moyoni, Zab. 89:5.
III. Mungu Baba Mwenyezi Anao Upendo Usio na Mipaka na Huudhihirisha.
4
A. Mungu ni mkarimu (Mungu anajali ustawi wa wale anaowapenda).
1. Hutafuta na kukusudia kutuletea ustawi wetu binafsi.
a. Yer. 29:11-13
b. Mt. 6:25-33
2. Hutimiza mapenzi yake mema kwa ajili yetu, Kum. 7:7-8.
3. Mungu hufuatilia mahitaji yetu ili kutupatia kwa usahii mambo tunayohitaji.
Made with FlippingBook - Share PDF online