Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
/ 1 2 5
M U N G U B A B A
a. Zab. 103:9-18
b. Rum. 5:6-10
c. 1 Yoh. 4:10
4. Madokezo kuhusu ukarimu wa Mungu
a. Mungu atatupatia mahitaji yetu, Flp.4:19.
b. Hatuhitaji kuhangaika kamwe juu ya mahitaji, kupungukiwa, na haja zetu. Mt. 6:25-33.
c. Mungu si bahili wala katili; huwapa wote wamwombao kwa ukarimu, Yak. 1:5.
4
B. Mungu ni mwenye neema (Mungu hashughuliki nasi kwa msingi wa sifa zetu, lakini kwa msingi wa wema na fadhili zake mwenyewe).
1. Mungu hukirimu watu bila kujali sifa zao, Efe. 2:7-10.
2. Hutoa rehema zake kwa wasiostahili, Tito 2:11-15.
3. Hakuna anayeweza kulipia kibali chake
a. 2 Thes. 2:16
Made with FlippingBook - Share PDF online