Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

1 2 6 /

M U N G U B A B A

b. Ebr. 4:16

4. Madokezo kuhusu matendo ya neema ya Mungu

a. Usichukulie neema yake kawaida, Rum. 3:8; 6:1, 15.

b. Hatupaswi kamwe kupokea neema ya Mungu bure, 2 Kor. 6:1.

c. Tunapaswa kutoa neema kama tulivyoipokea kutoka kwa Bwana, Mt. 18.

C. Mungu ni mwenye rehema (Mungu amejawa na moyo wenye upole, huruma ya upendo kwa wahitaji na waliovunjika).

1. Mungu ni mpole kwa walioumizwa, walioonewa, na wahitaji.

4

a. Kum. 5:10

b. Zab. 57:10

c. Zab. 103:13

d. Isa. 54:7

e. Hos. 14:3

Made with FlippingBook - Share PDF online