Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
1 2 8 /
M U N G U B A B A
c. Bila aibu tunapaswa kuzihubiri kwa wale wasiomjua, Mt. 9:35-38.
D. Mungu ni mstahimilivu (Mungu ni mwenye subira na mvumilivu katika kutuzuilia hukumu).
1. Mungu yuko tayari kuzuia hukumu ya wenye hatia kwa ajili ya wokovu wao.
a. Zab. 86:15
b. Rum. 2:4
c. Rum. 9:22
d. 1 Pet. 3:20
4
2. Ustahimilivu wa Mungu unafunuliwa kwa uwazi kabisa katika msamaha wake wa dhambi, Rum. 3:25.
3. Mungu ni mvumilivu katika shughuli zake zote zinazowahusu watoto wake mwenyewe.
a. Isa. 30:18
b. Eze. 20:17
Made with FlippingBook - Share PDF online