Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
/ 1 2 9
M U N G U B A B A
4. Madokezo kuhusu uvumilivu wa Mungu
a. Uvumilivu wa Mungu unaweza kutia moyo wengine kutubu. (1) Yoe 2:13 (2) Rum. 2:4 (3) 2 Pet. 3:9 b. Ustahimilivu wa Mungu kwetu haupaswi kutumiwa vibaya au kudharauliwa (1) Mhu. 8:11 (2) Mt. 24:46-49 (3) Rum. 2:4-5
c. Tunapaswa kukumbuka kwamba, kuhusiana na ustahimilivu wenye upendo wa Mungu kwenye maisha yetu, kuna mipaka.
4
(1) Mwa. 6:3 (2) Yer. 44:22
Hitimisho
» Wema wa Mungu unaonyeshwa katika sifa zake za kiadili za usafi, ukamilifu, uadilifu, na upendo usio na mipaka. » Usafi wake mkamilifu unaonyeshwa katika utakatifu wake, haki, na hukumu za haki. » Ukamilifu na uadilifu wa Mungu unafunuliwa kupitia uhalisia, ukweli, na uaminifu wake. » Upendo wa milele wa Baba unaonyeshwa kupitia ukarimu, neema, rehema, na ustahimilivu wake.
Made with FlippingBook - Share PDF online