Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
1 3 4 /
M U N G U B A B A
e. Rum. 9:18-22
f. Ufu. 16:6-7
4. Ni katika kuitikia uchaguzi wa uasi wa kibinadamu na ule wa kimalaika.
a. Shetani na wafuasi wake wanahukumiwa kwa sababu walichagua kimakusudi kuasi chaguo kuu la Mungu, Isa. 14:12-15.
b. Wanadamu wanahukumiwa kwa sababu ya uasi wao binafsi na vilevile kwa sababu ya uhusiano wao na wanadamu wawili wa kwaza. (1) Isa. 55:7 (2) 1 Pet. 3:18 (3) Isa. 53:6
4
C. Hasira ya Mungu: tunawezaje kuielewa kikamilifu?
1. Mungu huelekeza hasira yake dhidi ya ukengeufu wa kila aina na ibada ya sanamu.
a. Kum. 29:27-28
b. Zab. 78:58-59
c. Ebr. 10:26-27
2. Imeelekezwa dhidi ya wale wanaomwasi.
Made with FlippingBook - Share PDF online