Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
/ 1 3 3
M U N G U B A B A
c. Daima hutolewa kwa usahihi (katika kila hali inastahili na kulingana na makosa).
2. Ghadhabu ya Mungu hufuatilia mambo ambayo hayajapatana na mapenzi yake mema, ya kupendeza, na ya ukamilifu.
a. Rum. 1:18
b. Rum. 3:25
c. 1 Thes. 1:9-10
d. Ufu. 6:16-17
e. Ufu. 16:19
4
3. Ina asili ya kisheria na isiyo na upendeleo (yaani, ni namna ya Mungu kusimamia haki ya utawala wa Ufalme wake, rej. Mt. 25).
a. Zab. 58:10-11
b. Omb. 1:18
c. Yoh. 5:22-23
d. Rum. 2:6
Made with FlippingBook - Share PDF online