Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
3 0 0 /
M U N G U B A B A
zilizochelewa inaweza kuamua kwa urahisi ikiwa utawapunguzia wanafunzi alama, jambo ambalo litasababisha mabadiliko ya daraja baadaye, au kuwapa wanafunzi alama ya “haijakamilika” hadi kazi ikamilike. Vyovyote utakavyotekeleza kanuni zako kuhusiana na kazi zao, kumbuka kwamba kozi zetu kimsingi hazihusu maksi ambazo wanafunzi wanapata, bali ile lishe ya kiroho na mafunzo ambayo kozi hizi zinatoa. Pia, hata hivyo, kumbuka kwamba kuwasaidia wanafunzi wetu kujitahidi kupata matokeo bora ni sehemu muhimu ya masomo yetu. Kwa niaba ya wanafunzi wako na Bwana, tunakupongeza kwa juhudi zako. Bwana aubariki sana uwekezaji wako kwa hawa ndugu wapendwa, kwa heshima na utukufu wa Mungu mkuu na mwema, Baba Mwenyezi. Amina!
Made with FlippingBook - Share PDF online