Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
6 2 /
M U N G U B A B A
(2) Mungu hutumia uovu ili kuonyesha nguvu zake, Rum. 9:22 24.
3. Kwa kuwa Mungu ndiye anayetawala vitu vyote, wanadamu wanawezaje kuwajibika kwa matendo yao?
a. Kilamtu atabebamzigowakemwenyewe kwa sababu yamachaguo yake, Rum. 9:19-21.
b. Mungu hukamilisha kile ambacho watu wamewekewa kulingana na maamuzi yao au upinzani wao kwa mapenzi yake. (1) Kusudi la Mungu sio sababu ya watu kuteseka, Gal. 6:7-8. (2) Unavuna ulichopanda, Ayu. 4:8. (3) Thawabu ya maamuzi yetu ni ya hakika, Mit. 11:18. (4) Ukipanda upepo, utavuna kimbunga, Hos. 8:7. (5) Ukipanda haki, utavuna thawabu ya haki, Hos. 10:12. (6) Kila mtu atapokea sawa na matendo yake, Rum. 2:6-10.
2
III. Mambo Muhimu ya Kujifunza katika Fundisho la Mungu Baba Mwenyezi kama Mhifadhi na Mtawala wa Vitu Vyote
Fundisho la uangalizi na utunzaji wa Mungu linakanusha makosa ya kisasa ya falsafa na theolojia.
A. Kosa la Kwanza: Mungu ni sehemu ya uumbaji, na utambulisho wake, hautofautiani na uumbaji.
1. Yeye ni wa tofauti na ulimwengu (Yeye si sehemu ya vilivyoumbwa).
Made with FlippingBook - Share PDF online