Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
6 4 /
M U N G U B A B A
2. Kusudi kuu kabisa la Mungu linaenda sambamba na ndani ya kila tukio katika mazingira na mambo ya wanadamu.
3. Mungu anajali maisha yote katika wakati wa sasa, na atahakikisha uwepo wa mbingu mpya na nchi mpya wakati wa ujio wa Yesu Kristo.
4. Hakika katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake kuu.
D. Kosa la nne: Kilichopo sasa ndicho kimekuwepo au kitakuwepo (hii ni determinism).
2
1. Uumbaji na historia vinasonga kuelekea utimilifu mkuu wa Mungu: Mungu ataumba mbingu mpya na nchhi mpya.
a. Mungu ataumba kwa upya mbingu na nchi, Isa. 65:17.
b. Yohana aliliona hili katika maono yake ya siku za mwisho, Ufu. 21:1.
Isa. 40:6-8 Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia! Nikasema, Nilie nini? Wote wenye mwili ni majani, Na wema wake wote ni kama ua la kondeni; Majani yakauka, ua lanyauka; Kwa sababu pumzi ya Bwana yapita juu yake. Yakini watu hawa ni majani. Majani yakauka, ua lanyauka; Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.
2. Kuishi kwa ajili ya mfumo wa ulimwengu wa sasa ni ubatili na upofu. Tunatazamia makao yetu halisi, Yerusalemu mpya ya Mungu.
a. Mfumo wa ulimwengu wa sasa umehukumiwa, 1 Yohana 2:16-17.
b. Wenyeji wetu uko mbinguni, Flp. 3:20.
c. Tunangojea thawabu kutoka kwa Kristo mwenyewe, 2 Tim. 4:8.
Made with FlippingBook - Share PDF online