Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide
9 2 /
M U N G U B A B A
• Mungu Baba Mwenyezi hana kikomo: kwa habari ya nafasi yuko kila mahali, kwa habari ya wakati ni wa milele, kwa habari ya maarifa anajua yote, na kwa habari ya uwezo, anaweza mambo yote. • Mwisho, Mungu Baba mwenyezi habadiliki na anadumu: hataacha kuwa, daima amekuwa vile atakavyokuwa, na hatabadilika katika ukamilifu wake wowote, utukufu, au ubora wake.
I. Mungu Baba Mwenyezi ni Roho.
Muhtasari wa Sehemu ya 2 ya Video
A. Vipengele vya hali ya kiroho ya Mungu
1. Mungu ni roho (hakuundwa na kitu chochote wala hana asili ya kimwili).
3
a. Yoh. 4:24
b. 1 Tim. 1:17
c. 1 Tim. 6:15-16
2. Mungu haonekani
a. Yoh. 1:18
b. Yoh. 6:46
c. Kol. 1:15
Made with FlippingBook - Share PDF online