Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

9 6 /

M U N G U B A B A

d. Uf. 1:8

2. Mungu ana uwezo wa kuhusiana (anaweza kuelewa na kuhusiana na watu na viumbe wa kijamii).

a. Kum. 7:6-9

b. 1 Yoh. 4:7-9

B. Madokezo kuhusu haiba ya Mungu

1. Mahusiano ni asili ya Mungu Baba, Yohana17:25.

3

2. Mungu si kitu au kani (kama kimondo au umeme); kufanywa kwa mfano wa Mungu ni kuwa na haiba au utu na kuwa na asili ya kimahusiano (rej. Mwa. 1:26-27).

3. Mungu ni mwisho; tunahusiana naye si kwa kile tunachopata kutoka kwake bali ni kwa sababu ya jinsi alivyo.

4. Uzima wa milele sio maadili au dini fulani, bali ni mahusiano mapya na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo, Yoh. 17:3.

IV. Mungu Baba Mwenyezi hana Ukomo

A. Vipengele vya Mungu kutokuwa na ukomo

1. Kuhusiana na nafasi (yupo kila mahali)

Made with FlippingBook - Share PDF online