Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

/ 9 7

M U N G U B A B A

a. Maswali ya maeneo hayamhusu Mungu, Yer. 23:23-24.

b. Hakuna eneo ambapo Mungu hawezi kupatikana, Zab. 139:7-12.

2. Kuhusiana na muda (ni wa milele)

a. Asili yake ni ya milele, Isa. 40:28.

b. Mungu amekuwako na atakuwako daima (yaani, ni Alfa na Omega ). (1) Uf. 1:8

(2) Zab. 90:1-2 (3) Yuda 1:25

3

c. Muda hauna uwezo wa kushikilia ufahamu au nafsi yake, 2 Pet. 3:8.

3. Kuhusiana na ufahamu (anajua yote)

a. Ufahamu wake wa mambo yote hauna mipaka, Zab. 147:5.

b. Vitu vyote viko uchi na wazi kwa uelewa na ufahamu wake. (1) Isa. 40:28 (2) Ebr. 4:13

Made with FlippingBook - Share PDF online