Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

9 8 /

M U N G U B A B A

c. Ana uwezo wa kupata habari zote kuhusu vitu vyote, na vitu vya namna yoyote, lakini yeye mwenyewe hachunguzwi na mtu, Rum.11:33

4. Kuhusiana na uwezo (anaweza yote)

a. Jina lake El Shaddai huzungumza kuhusu uweza wake mkuu. (1) Mwa. 17:1 (2) Mwa. 28:3 (3) Mwa. 35:11

(4) Kut. 6:3 (5) Uf. 19:6

3

b. Hakuna lililogumu sana kwa Mungu kutenda au kulimaliza. (1) Mwa. 18:14 (2) Hes. 11:23 (3) Zab. 115:3

(4) Yer. 32:17 (5) Dan. 4:35 (6) Mt. 19:26

c. Mungu anaweza kufanya zaidi ya kile yeyote kati yetu anaweza kufikiri (katika uwezo wake mwenyewe), Efe. 3:20.

B. Madokezo kuhusu Mungu kutokuwa na ukomo

Made with FlippingBook - Share PDF online