Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 1 2 3
M U N G U B A B A
1. Mungu hujithibitisha kuwa wa kweli katika yote anayofanya na kutimiza.
a. Hes. 23:19
b. 1 Fal. 8:20
c. 1 Thes. 5:24
d. Ebr. 10:23
2. Mungu hudumu kuwa mwaminifu, hata wakati ambao kila mtu na kila kitu hushindwa, 2 Tim. 2:13.
3. Uaminifu wa Mungu hufanya matendo na ahadi zake kutabirika kabisa.
4
a. Zab. 89:2
b. Zab. 89:33
c. Omb. 3:23
d. 1 Kor. 1:9
e. 1 Pet. 4:19
Made with FlippingBook - Online catalogs