Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 1 2 7
M U N G U B A B A
2. Rehema zake ni za dhati na mpya kila siku.
a. Zab. 25:6
b. Omb. 3:32-33
3. Rehema za Mungu hugusa viumbe vyake vyote na kazi zake zote.
a. 1 Nya. 16:34
b. Zab. 89:28
c. Zab. 103:8-11
4
d. Zab. 119:64
4. Madokezo kuhusu rehema za Mungu
a. Tunpaswa kutafuta rehema zake kwa ajili yetu na wengine. (1) Zab. 6:2 (2) Gal. 6:16
b. Tunapaswa kuzishangilia rehema zake kwa nyimbo na ibada. (1) Zab. 115:1 (2) Zab. 118:1-4
Made with FlippingBook - Online catalogs