Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

/ 1 3 5

M U N G U B A B A

a. Wale ambao hawajutii uharibifu na makosa waliyofanya, Isa. 9:13 14.

b. Wale wanaokataa neema na rehema zake, Ezra 8:22

c. Wale wanaokataa na kupinga Injili ya Mwanawe. (1) Zab. 2:2-3 (2) 1 Thes. 2:16

d. Wale wanaokataa utawala wake maishani mwao (yaani, waovu) (1) Rum. 1:18 (2) Rum. 2:8

(3) Efe. 5:6 (4) Kol. 3:6

4

3. Si lazima kupokea ghadhabu ya Mungu; inaweza kuepukuwa.

a. Damu ya Yesu kama upataniso (yaani, kutuliza ghadhabu ya Mungu dhidi ya dhambi), 1 Pet. 1:18-21

b. Kwa imani katika Yesu Kristo (1) Rum. 5:9 (2) 2 Kor. 5:18-19 (3) Kol. 1:20 (4) 1 Thes. 1:10

Made with FlippingBook - Online catalogs