Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 1 7 9
M U N G U B A B A
Maono na Mbinu za Kitheolojia (muendelezo)
B. Dhana ya Uamuzi wa Kitheolojia (Theological determinism) – muundo wa matukio yote umedhamiriwa kulingana na “shauri na uwezo wa Mungu kuyajua tangu awali” (Mdo 2:23).
C. Vipi kuhusu maswali ya uwepo wa uovu (theodicy) ? (Uovu kuwapata watu wema au wasio na hatia).
D. Uhuru wenye mipaka au kutokuwa na uhuru kabisa: vipi kuhusu uhusiano kati ya ulimwengu unaoonekana, matukio sababishi, na ukuu wa Mungu?
Made with FlippingBook - Online catalogs