Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

6 0 /

M U N G U B A B A

1. Utawala = Mungu ndiye Mwenye enzi juu ya ulimwengu, ana mamlaka kuu ya kuviweka viumbe vyake jinsi apendavyo, Zab. 47:2.

2. Mungu anatawala juu ya vyote; ulimwengu na mpangilio wa historia viko mikononi mwake, 2 Nya. 20:6

3. Anayo mamlaka ya kugeuza mambo yote ya wanadamu yaelekee kusudi lake, kuinua na kutia nguvu.

a. Mungu ni Bwana wa Ufalme, 1 Nya. 29:11-12.

2

b. Ameinuliwa juu ya mataifa, Zab 47:8.

c. Utawala wa Mungu ni wa milele na uko juu ya wote wakaao mbinguni na duniani, Dan. 4:34-35.

4. Vitu vyote vipo kwa ajili ya utukufu wake.

a. Uumbaji wake na uhifadhi wake kwa Israeli (1) Isa. 43:7 (2) Isa. 43:21 (3) Rum. 11:36 (4) Ufu. 4:11

5. Viumbe vyote vinaugua vikisubiria kufunuliwa kwa uhuru wenye utukufu wa watoto wa Mungu, Rum. 8:18-23.

6. Uumbaji wa sasa utafanywa upya chini ya uongozi wa Mungu, 2 Pet. 3:5-13.

Made with FlippingBook - Online catalogs