Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
8 6 /
M U N G U B A B A
a. Muundo wa wingi wa jina la Mungu: Elohim (rej. Mwa. 1:26 na Isa. 6:8)
b. Kujitaja kwa Mungu mwenyewe katika uumbaji wa mwanadamu kwa sura na mfano wake (Imago Dei) Mwa. 1:27 na 2:24
4. Kanuni za Utatu (majina ya wingi ya Bwana kama utatu katika Agano Jipya)
a. Ubatizo wa Yesu, Mt. 3:16-17
b. Agizo Kuu, Mt. 28:19
3
c. Tamko la baraka katika Wakorintho, 2 Kor. 13:14
5. Kauli ya Yesu kuwa Yeye na Baba ni umoja
a. Yohana anasisitiza kwamba Yesu ni Neno, akiwa pamoja na Mungu, ambaye ni Mungu, na kutoa ufunuo wa Mungu, Yohana 1:1-18.
b. Yesu na Baba ni umoja, Yohana 10:30.
c. Aliyemwona Yesu amemwona Baba, Yohana 14:9.
d. Yesu alishiriki utukufu wa kwanza pamoja na Baba kabla ya kujivua utukufu kwa ajili ya wokovu wetu, rej. Yoh. 17:21 na Flp 2:6-8.
Made with FlippingBook - Online catalogs