Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

/ 9 5

M U N G U B A B A

c. Zab. 36:9

d. Zab. 90:2

B. Madokezo kuhusu uzima wa Mungu

1. Mungu hahitaji chochote nje yake kuwa alivyo.

2. Mungu hategemei chochote (yaani, hahitaji chochote nje yake), Mdo 17:24-25.

3. Ingawa Mungu hategemei mahitaji ya nje, hajitengi, hayuko mbali, wala si kwamba hajihusishi na uumbaji na mambo ya wanadamu.

3

III. Mungu Baba Mwenyezi ni Nafsi

A. Vipengele vya haiba ya Mungu

1. Mungu ana ufahamu (ana hiari, ana uwezo wa kujua, kuhisi, na kuchagua).

a. Kut. 3:14

b. Kut. 6:3

c. Isa. 44:6

Made with FlippingBook - Online catalogs